Maisha
Kijana afariki alipokuwa akiwakimbia askari
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Mkacha Mohamed (35) mkazi wa Soya wilaya ya Chemba mkoani Dodoma amefariki dunia baada ya kuanguka ...Rais Samia: Wakulima wekeni akiba, pembejeo za bure hazitatoka miaka yote
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakulima mkoani Mtwara kuwekeza fedha wanazopata baada ya kuuza mazao yao ili kuzitumia katika msimu unaofuata akisema ...Aiomba Serikali imwajiri anyonge wafungwa
Mmoja wa washiriki wa mkutano wa haki jinai Kibaha mkoani Pwani, Ramadhan Maulid ameeleza kuwa anatamani serikali ingemuajiri ali afanye kazi ya ...Mwanafunzi ashikiliwa kwa kuchoma moto madarasa
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Yesse Charles (17), mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Lyela, kwa tuhuma za ...Dar es Salaam hupoteza trilioni 1.4 kutokana na foleni
Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amesema kwa wastani jiji la Dar es Salaam linapoteza ...Tanzania imevuka wastani wa unywaji pombe Afrika
Serikali imesema takwimu zinaonesha Tanzania inaongoza kwa matumizi ya unywaji pombe barani Afrika huku watu wenye umri wa kuanzia miaka 15 wakitumia ...









