Maisha
Ufaransa yapiga marufuku iPhone 12
Mamlaka nchini Ufaransa imeagiza kampuni ya teknolojia ya Apple kuacha kuuza simu ya iPhone 12 kutokana na viwango vya mionzi kuwa juu ...Polisi watilia shaka kujinyonga kwa mwenye ulemavu wa mikono na miguu
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linasema linatilia shaka tukio la kujinyonga kwa binti Samia Ahmed Mohamed (20) mkazi wa Kijiji cha Sinde ...Nchi 10 za Afrika zenye bei ya Juu zaidi ya mafuta kwa Septemba
Tangu mwanzo wa mwaka huu, ulimwengu umekutana na changamoto za kiuchumi ambazo zina athari kubwa kwa wananchi wa kawaida. Viwango vya mabadiliko ...Watu 10,000 wahofiwa kupotea kutokana na mafuriko nchini Libya
Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu (IFRC) limebainisha kwamba takriban watu 10,000 wanahofiwa kupotea kutokana na mafuriko makubwa nchini Libya. ...Shirika la ndege Japan kukodisha nguo kwa wasafiri kupunguza mizigo
Shirika la ndege la Japan Airlines limezindua jaribio la kutoa huduma inayowaruhusu wasafiri kuagiza nguo wanazohitaji kwa ajili ya likizo yao nchini ...BoT: Unaporudishiwa fedha chakavu usikatae
Kufuatia kuwepo kwa mivutano katika huduma mbalimbali za umma pindi mwananchi anaporudishiwa pesa iliyo chakavu, Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeshauri wananchi ...









