Maisha
Barabara za Kampala kufungwa kupisha sherehe za ‘birthday’ ya Rais Museveni
Barabara kadhaa zinatarajiwa kufungwa katika Mji mkuu wa Uganda, Kampala, siku ya Ijumaa Septemba 08, 2023 kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha ...Faida 10 za vitunguu maji mwilini
Matumizi ya vitunguu maji yanaweza kuwa ya kawaida kwenye mlo wako wa kila siku kutokana na kuwa kivutio kwenye chakula. Mbali na ...Akamatwa baada ya miili 10 kukutwa imezikwa jikoni kwake
Mtu mmoja amekamatwa nchini Rwanda baada ya zaidi ya miili ya watu 10 kugunduliwa ikiwa imezikwa katika shimo lililokuwa limechimbwa ndani ya ...Majaliwa amuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia upatikanaji wa mafuta
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko kushughulikia suala la upatikanaji wa nishati ya mafuta nchini ili Watanzania wafikiwe ...JWTZ: Tunaingia mtaani kuzisaka sare zetu kwa wananchi
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa kusalimisha mavazi yanayofanania na sare za jeshi kwa hiari zimeisha, ...Mkuu wa Wilaya ashitakiwa kwa kutusi na kuwaweka mahabusu watumishi
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Dkt. Julius Ningu ameshitakiwa katika Baraza la Maadili kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi, ...









