Maisha
Fahamu faida 5 za kunywa maji moto asubuhi
Baadhi ya watu husema unywaji wa maji ya moto umewasaidia kupunguza vitambi na unene, huku wengine wakitibu maumivu ya viungo na uchovu ...Valentine’s Day inavyoweza kukusababishia matatizo ya kiakili
Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’ ambayo huadhimishwa Februari 14 kila mwaka kwa heshima ya Mtakatifu Valentine inakua kila mwaka. Siku hii huwapa ...Mpangaji adaiwa kumuua mwenye nyumba kwa madai ya kodi
Mkazi wa Kijjiji na Kata ya Likongowele, wilaya ya Liwale mkoani Lindi, Siamini Mtopoka (40) amedaiwa kuuawa na mpangaji wake aitwaye Shabani ...Muumini alitaka kanisa kumrudishia zaka zake akidai hana mpango tena wa kwenda Mbinguni
Mwanaume mmoja nchini Nigeria aliyetambulika kwa jina la Chukwudiaso Onyema amelitaka kanisa la Dunamis Church International linalomilikiwa na Mchungaji Dk. Paul Enenche ...Mbinu 5 za kuzungumza kwa kujiamini mbele ya watu wengi
Kuzungumza mbele ya watu wengi inaweza kuwa si jambo rahisi kwa watu wengi, iwe ni shuleni, kwenye harusi mkutanoni n.k. Vidokezo hivi ...TEMESA yataka nauli za vivuko zipandishwe
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umesema changamoto kubwa zinazoikabili kwa sasa ni nauli za vivuko ambazo zimepitwa na wakati na ...