Maisha
Baba aliyembaka binti yake asema alijua ni mkewe
Mahakama ya Wilaya ya Mpanda imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Augustino Michese (59) kwa kosa la kumbaka binti yake wa kumzaa ...UTURUKI: Mtoto asimulia alivyoishi siku nne chini ya kifusi akinywa mkojo
Kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Uturuki na Syria, mvulana mwenye umri wa miaka 17, ambaye alinasa chini ya vifusi siku ya ...Haya ndio madhara ya kuchelewa kula chakula usiku
Baadhi ya watu kula chakula cha usiku muda usiofaa ni kawaida kwao kutokana na kuchelewa kurudi kutoka katika sehemu zao za kazi. ...Panya Road wavamia na kujeruhi wakazi wa Bunju
Inaelezwa kuwa uhalifu unaofanywa na vijana maarufu ‘Panya Road’ bado unaendelea, hiyo ni baada ya wakazi wa Bunju B Mtaa wa Idara ...Mwanamke afariki kanisani alikopelekwa kuombewa
Polisi nchini Uganda wanachunguza kifo cha mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Rosette Najjuma (59) kilichotokea Jumatano, Februari 8 wakati wa ibada ...Nape: Tutadhibiti usambazaji picha za ngono mitandaoni
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametoa tahadhari kwa watu wanaotumiwa picha za uchi kutozituma kwa watu wengine ...