Maisha
WHO yatahadharisha janga la pili kutokea Uturuki
Takribani watu 21,000 wamefariki dunia na maelfu ya watu kukosa makazi kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu Februari 6, 2023 nchini Uturuki ...Watu 12 wamefariki katika ajali Dodoma
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester ...TBA wakataa kuzungumzia suala la nyumba za Magomeni Kota
Inadaiwa Kaya 644 za Magomeni Kota zimegoma kutia saini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo kuanzia Februari 8, mwaka huu kwa kile ...Wanawake nchini waongoza kuugua saratani kwa 70%
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), Dkt. Julius Mwaiselenge amesema ugonjwa wa saratani nchini unaendelea kuongezeka kwa kasi huku ...Hospitali ya Bugando yaanza utafiti kuhusu maji ya maiti kutumika kuhifadhia samaki
Kufuatia agizo la Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango kutaka kufanyike utafiti kuhusu kinachodaiwa kuwapo ongezeko la saratani mikoa ya Kanda ya ...Tetemeko la ardhi laua zaidi ya watu 500 Uturuki
Zaidi ya watu 500 wamefariki na wengine takribani 2,000 kujeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitudi 7.8 kupiga eneo ...