Maisha
Faida 7 za kufanya ‘meditation’ asubuhi
Mazoezi ya kutafakari (meditation) kila asubuhi ni mojawapo ya mambo bora zaidi unayoweza kujifanyia. Tafiti nyingi zinaonesha kwamba watu wanaotafakari asubuhi wana ...Rais Samia aagiza Serikali kusimamia misiba ya watu 17 waliofariki Tanga
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kuwa Serikali isimamie msiba wa watu 17 waliofariki kwenye ajali mkoani Tanga hadi utakapomalizika. Mkuu wa ...Watu 17 wafariki ajalini Tanga wakisafirisha maiti
Watu 17 wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Magira Gereza wilayani Korogwe mkoani Tanga majira ...Mwanamke aishi na wembe tumboni kwa miaka 11
Madaktari nchini Kenya wameondoa wembe unaodaiwa kusahaulika ndani ya tumbo la mwanamke kwa muda wa miaka 11 baada ya upasuaji uliofanyika katika ...Precision Air yatoa shukrani baada ya ajali
Shirika la Ndege la Precision Air, limetoa msaada wa chakula na mahitaji mengine muhimu kwa vituo vitano vilivyomo Bukoba pamoja na mchango ...Akamatwa na kobe 998, adai ni tiba ya UKIMWI
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Nyarukoru, mkoani Mara, Matimba Washa (28), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Butiama kwa makosa matatu ...