Maisha
Watanzania 28 wahukumiwa kwa kuingia Afrika Kusini kinyume cha sheria
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani Watanzania 28 waliokwenda Afrika Kusini kinyume cha sheria ya uhamiaji na kuwaamuru kulipa faini ya ...Aina nane za kazi zinazoongoza kuchochea msongo wa mawazo
Kazi zenye msongo wa mawazo zinaweza kutofautiana kulingana na mazingira ya kazi, utamaduni na hali ya uchumi katika maeneo tofauti barani Afrika. ...Jinsi ndege wanavyoweza kupunguza msongo wa mawazo
Ikiwa unataka kuboresha afya yako ya akili basi labda unapaswa kuanza kutenga muda kidogo kila siku kukaa na kusikiliza ndege wakilia nje ...Mtoto Hamimu aliyekuwa na matatizo ya ngozi akabidhiwa nyumba na Rais Samia
Mtoto Hamimu Baranyikwa aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi amekabidhiwa rasmi nyumba aliyojengewa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Kijiji cha Nyakanazi, ...Mtaalamu: Wanawake wanachangia ongezeko la tatizo la nguvu za kiume
Kutokana na idadi ya wanaume wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kuongezeka nchini kutokana na sababu mbalimbali zinazotajwa na wataalam ...Msanii aitaka kampuni ya mabasi imlipe milioni 123 na kwa kutumia wimbo wake
Msanii wa Kizazi kipya, Nuni Suleimani (35) ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Arusha kuiamuru kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro Track ...









