Maisha
Kampuni ya Sola Yazindua Kampeni ya Matumizi ya Nishati Safi
Katika kampeni ya kuunga mkono jitihada za serikali kwenye matumizi nishati salama kimazingira, kampuni ya sola d.light Tanzania Limited imezindua kampeni mpya ...Wanahabari na watumishi wa Serikali washambuliwa na Morani Ngorongoro
Timu ya Waandishi wa habari na watumishi wa Serikali wamejeruhiwa na vijana zaidi ya 200 wa jamii ya Kimasai (Morani) jioni ya ...ACT yataka Dkt. Slaa na wenzake wapelekwa mahakamani au waachiwe huru
Chama cha ACT Wazalendo kimelitaka Jeshi la Polisi kuwaachia huru bila masharti yoyote au kuwapeleka mahakamani Wakili Boniphace Mabukusu, Mpaluka Nyagali na ...Mganga mbaroni kwa tuhuma za kuwabaka wanafunzi akidai ni tiba
Mganga wa kienyeji, Stephano Mjema (36) mkazi wa Ndungu wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za ...Mwanamke aliyeripotiwa kufariki miaka mitano arejea na kusimulia kisa kizima
Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Mwashi Lutema (33) anayedaiwa kufariki takribani miaka mitano iliyopita ameonekana akiwa hai katika Kijiji cha Kamalampaka Wilaya ...Polisi wathibitisha kuwashikilia Mwabukusi na Mdude, msako unaendelea
Baada ya taarifa iliyotolewa Agosti 11, 2023 na Jeshi la Polisi likiwaonya wanaofanya uchochezi kwa lengo la kuiangusha Serikali, Jeshi limetangaza kuwakamata ...









