Maisha
Utafiti: Asilimia 63 ya Watanzania wanafurahia Serikali inavyosimamia uchumi
Ripoti ya Afrobarometer iliyotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Sera kwa Maendeleo (REPOA), imeonesha kuwa takribani asilimia 63 ya idadi ya watu ...Benki ya Dunia yasitisha mikopo kwa Uganda kutokana na sheria ya kuzuia mapenzi ya jinsia ...
Benki ya Dunia imetangaza kusitisha mikopo kwa ajili ya miradi nchini Uganda kwa siku zijazo kutokana na nchi hiyo kupitisha sheria kali ...Nigeria yapiga marufuku magari yenye vioo ‘tinted’
Katika jimbo la Kusini-Mashariki la Enugu nchini Nigeria, mamlaka zimepiga marufuku matumizi ya magari yenye vioo vilivyokuwa ‘tinted’ ikiwa ni jitihada za ...Mchungaji ahukumiwa miaka 70 kwa kubaka watoto
Mahakama ya Nairobi imemhukumu mchungaji, James Njuguna kifungo cha miaka 70 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo wawili ...Mtanzania atekwa Nigeria, wataka milioni 170 kumuachia huru
Frateri Mtanzania atekwa Nigeria, wataka milioni 170 kumuachia huru Frateri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Melkiori Mahinini (27) ametekwa nyara na ...Kenya: Makaburi yagundulika kanisani, mapya yaibuka
Timu ya usalama kutoka taasisi mbalimbali nchini Kenya imegundua makaburi manne katika kanisa moja jijini Kisumu ambapo kulikuwa na watu wanaosadikiwa kuwa ...









