Maisha
Afa maji akijipiga selfie kwenye maporomoko
Athuman Rashid mkazi wa Balan’ga Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga amefariki wakati akijipiga picha (selfie) katika eneo lililokuwa likipokea maji yaliyokuwa yakiporomoka ...Sababu 8 za kuota mvi katika umri mdogo
Mwili wako una vinyweleo ambavyo ni vifuko vidogo vilivyo na seli maalum za rangi ambazo huzingira nywele. Seli hizi za rangi zinaitwa ...Nyangasa: Igeni mfano wa Meridianbet
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangasa ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kuiga mfano wa Kampuni ya Meridianbet Tanzania, Ameyasema hayo wakati ...Fahamu sababu za viwanja vya ndege kujengwa karibu na bahari/maziwa
Mioyo ya Watanzania bado ingalia imejawa na majonzi kuhusu vifo vya wenzao 19 vilivyotokana na ajali ya dege ya Precision Air mkoani ...RC Makalla: Mgao wa maji Dar umeisha
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema mgao wa maji katika mkoa huo umefika mwisho mara baada ya kuongezeka ...Polisi walaumu panya kwa kula 200kg za bangi za ushahidi
Polisi nchini India wamewalaumu panya kwa kuharibu karibu kilo 200 za bangi iliyonaswa kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa katika vituo vya polisi ...