Maisha
Polisi: Kuna kikundi cha watu kinaandaa taarifa za upotoshaji mtandaoni
Jeshi la Polisi limetahadharisha kuwa kuna kikundi cha watu ambao wanaandaa picha mjongeo na taarifa mbalimbali za matukio yaliyotokea siku za nyuma ...Mchungaji Mtaita ashikiliwa kwa uchochezi
Jeshi la Polisi mkoani Manyara, limesema Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita ...Nyumba ya Askari Polisi yachomwa moto na wasiojulikana Songwe
Watu wasiojulikana wameteketeza kwa moto nyumba ya Mkaguzi wa Polisi Nsajigwa Mwajeka, ambaye ni Polisi Kata wa Kata ya Chitete, Wilaya ya ...Mama atuhumiwa kuua watoto wake wawili kwa kuwazamisha mtoni
Mama mwenye umri wa miaka 24, Lillian Wacera Maina, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na tuhuma za kuwaua watoto wake wawili kwa kuwazamisha katika ...UDSM: Hatuhusiki na tamko lililotolewa na UDASA
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimesema hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa ...Mzazi ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mtoto wake kwa viboko
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa mmoja mwenye umri wa miaka 46, mkulima na mkazi wa Kamala Wilaya ya Kigoma kwa ...








