Maisha
Waziri Mbarawa: Wakati ajali ya ndege inatokea, boti ya uokoaji ilikuwa mbali
Serikali imesema wakati wa ajali ya ndege ya Precision Air boti ya uokozi ilikuwa katika doria kwenye maeneo ambayo ni mbali na ...TANESCO: Matengenezo ya mitambo na ukame chanzo cha upungufu wa umeme
Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande amesema kuwa shirika hilo inapita kipindi kigumu cha upungufu wa umeme unaosababishwa na ukame na matengenezo ...TANESCO: Upatikanaji umeme utaimarika Desemba 2022
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kutokana na ukame mkubwa ulioikumba nchi, uwezo wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji umepungua kwa jumla ...Kenya: Amuua mpenzi wake akidai aligeuka mzimu na kutaka kumla
Mwanamume mwenye umri wa miaka 59, Wangethi Chege amejisalimisha polisi katika eneo la Kasarani, Kaunti ya Nairobi baada ya kudaiwa kumuua mpenzi ...Washtakiwa wa mauaji ya Askari Loliondo waachiwa huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru washtakiwa wote 24 wa kesi ya mauaji ya Askari wa Jeshi la Polisi, Koplo Ganus ...Mashtaka yanayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa Simba, Muharami Sultan na wenzake
Washtakiwa sita kati ya tisa akiwemo aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba SC, Muharami Sultan (40) na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ...