Maisha
Mfugaji adaiwa kumtishia kumuua Mkuu wa Wilaya
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zaynab Telack ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kumkamata na kumfikisha mahakamani mfugaji anayedaiwa kumtishia maisha Mkuu ...Makada wa CHADEMA waliohukumiwa jela maisha washinda rufaa
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga imewachiwa huru makada wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliohukumiwa kifungo cha maisha ...Moshi wadaiwa kuuza nyama na supu ya Mbwa
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Moris Makoi amesema kuna tabia ya baadhi ya watu kuchinja mbwa na kuuza ...Fahamu madhara ya kutumia maji kupoza injini ya gari
Moja ya makosa yanayofanywa na wamiliki wa magari ni kutumia maji kupoza injini. Maji ni rahisi kupatikana hivyo linapokuja suala la upoozaji ...Amteka mtoto wake wa kambo akitaka fedha kutoka kwa mkewe
Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wamemkamata mwanaume anayedaiwa kumteka nyara mtoto wake wa kambo mwenye umri wa miaka 8 ili alipwe pesa ...