Maisha
Precision Air yatuma wataalam kufanya uchunguzi wa ajali ya ndege
Uongozi wa Precision Air kupitia Mkurugenzi Mkuu, Patrick Mwanri umesema umetuma watu wao kwenda Bukoba ili kufanya uchunguzi kujua nini chanzo cha ...Mufti awashauri Watanzania kuacha dhambi ili mvua zinyeshe
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha ...Mwalimu wa Madrasa adaiwa kulawiti watoto 10 aliokuwa anawafundisha
Polisi wanamshikilia Mwalimu wa Madrasa anayefahamika kwa jina moja la Faidh kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 wa kiume wenye umri kati ...Wafanyakazi wa uwanja wa ndege warejesha begi la mtalii lililokuwa na TZS milioni 44
Wafanyakazi wawili wa uwanja wa ndege wa Kenya na afisa wa Polisi wamejizolea sifa baada ya kurudisha begi lililokuwa limebeba takriban $19,000 ...Mlemavu wa ngozi akatwa mkono na kufariki mkoani Mwanza
Watu wasiojulikana wamemkata mkono wa kulia na kumsababishia kifo Joseph Mathias (50) mwenye ulemavu wa ngozi, katika kijiji cha Ngulla mkoani Mwanza ...Ahukumiwa kifungo cha maisha mara mbili kwa kumlawiti mwanafunzi
Emanuel Gwandu (21) amehukumiwa kifungo cha maisha mara mbili jela pamoja na kulipa fidia ya TZS milioni 5 baada ya kukutwa na ...