Maisha
Polisi watano wakamatwa kwa kusafirisha wahamiaji haramu
Jeshi la Polisi linawashikilia Polisi watano wa kituo kidogo cha Uyole jijini Mbeya kwa tuhuma za kula njama na kutaka kusafirisha wahamiaji ...Mbu wa bara la Asia ahamia barani Afrika
Wanasayansi wamesema aina ya mbu aitwaye ‘Anopheles Stephensi’ kutoka bara la Asia anayeeneza ugonjwa wa malaria ameenea hadi barani Afrika na kuwa ...Mzee atangaza kuwaozesha wake zake kwa mwanaume anayewataka
Mzee mmoja anayejulikana kwa jina la Lusanika Malunguja mkazi wa Kijiji Cha Nyamgogwa wilaya ya Nyan’ghwale mkoani Geita amewashangaza watu wengi kufuatia ...Serikali: Waathirika wa mabomu ya Mbagala hawakupewa fidia bali kifuta machozi
Serikali imesema kuwa walicholipwa waathirika wa mabomu ya Mbagala yaliyotokea mkoani Dar es Salaam ni kifuta machozi na sio fidia, kwa kuwa ...