Maisha
Namna 5 ya kuepuka kupatwa na kiharusi
Wataalam wa afya wanasema asilimia 80 ya viharusi vinaweza kuzuiwa kupitia mabadiliko ya mtindo mzuri wa maisha na kucheki afya mara kwa ...Sababu 6 za kwanini mtoto wako analia kwa muda mrefu usiku
Baadhi ya wazazi huchukulia hali ya kawaida kwa watoto wao kulia nyakati za usiku, huku wengine wakiihusisha na imani mbalimbali bila kujua ...Achapwa hadi kufariki kwa kuaibisha familia kwa ulevi
Leshoo Mollel (90) na wanawe watatu Simon Leshoo (35), Baraka Leshoo (38) na Abedi Leshoo (15), wakazi wa Kijiji cha Munge wilayani ...Kelele za muziki wa kanisa zadaiwa kusababisha maradhi ya moyo kwa mama anayeishi jirani
Wakazi wa mtaa wa Mlimani mkoani Arusha wamelalamikia Kanisa la Nguvu ya Utimilifu kupiga vyombo vya muziki kwa sauti kubwa na bila ...Papa Francis awaonya makasisi na watawa wanaotazama video za ngono
Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amekiri kuwa makasisi na watawa pia hutazama video za ngono mtandaoni huku akionya kuwa tabia ...Serikali yaruhusu wenye visima kusambaza maji
Serikali imeruhusu matumizi ya maji ya visima binafsi na vya umma vitumike ili kuendelea kutoa huduma kwa wananchi bila kikwazo chochote hadi ...