Maisha
Serikali: Watu 60,000 wanaambukizwa VVU kila mwaka
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kiwango cha maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi ni watu 60,000 kila mwaka, ambapo vijana wanaopata maambukizi ...Utafiti: Masalia ya ARV yabainika kwenye nyama ya kuku na nguruwe
Utafiti uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) mwaka 2024, na kuchapishwa Machi 28, 2025 katika ...Rais Samia asisitiza matumizi ya TEHAMA kwa Mahakama ili kuboresha utoaji haki
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa Mahakama hususan Mahakama za Mwanzo kutokufungwa na masharti ya kiufundi katika utoaji haki ili kurahisisha ...Polisi: Tunafanya uchunguzi dereva bajaji aliyekutwa ameuawa Arusha
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema linafanya uchunguzi kuhusu tukio la mwili wa Elias Msuya (28) dereva bajaji, mkazi wa Uswahilini Jijini ...Dereva bajaji aliyekimbia polisi Ubungo akamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia John Mosha (30), dereva bajaji na mkazi wa Kimara Temboni kwa kosa ...