Maisha
Mapacha waliomuua mama yao wakidai anawaroga, wahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kusini, Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa mapacha wawili, Daniel Seif (Kurwa) na Daniford Seif (Doto) wenye ...Vijana 12 wakamatwa Sirari kwa kufanya fujo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime-Rorya linawashikilia vijana 12 kwa kosa la kufanya fujo na kufunga barabara katika Mji wa Sirari. ...Polisi wamsaka aliyemuua mwenzake kisa Simba na Yanga
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamsaka Emmanuel Mabura (33), Bodaboda na mkazi wa Mtaa wa Mhandu Kisiwani, Wilaya ya Nyamagana kwa tuhuma ...Mwanamke ateketeza jengo akijaribu kuua mende Korea Kusini
Polisi nchini Korea Kusini wamesema wanatafuta kibali cha kumkamata mwanamke (20) aliyesababisha moto katika jengo la makazi wakati akijaribu kuua mende kwa ...Wajomba wadaiwa kumbaka mpwa wao, mmoja akamatwa
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mwanaume mwenye umri wa miaka 33, mkazi wa Mailimbili, kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato ...Wananchi wawakataa walimu saba baada ya kifo cha mwanafunzi aliyezama kisimani
Walimu saba kati ya 12 wa Shule ya Msingi Isenegeja, Kata ya Mwisi, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wameondolewa kazini kufuatia kifo ...








