Maisha
BRELA: Hatujapokea malalamiko kuhusu Kampuni ya Kalynda
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umesema haujapokea malalamiko rasmi kuhusiana na Kampuni ya Kalynda E Commerce Limited ambayo inadaiwa ...Mnyika: CHADEMA subirini ahadi ya Rais Samia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wanachama wake kuendelea kusubiri ahadi ya Rais Samia ya kukamilishwa mchakato wa kuruhusiwa mikutano ya ...Jeshi la Polisi lakanusha madai ya CHADEMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema kuwa limesikitishwa juu ya taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuzuia msafara wa Katibu ...Mchungaji adaiwa kumtorosha mke wa muumini, ampangishia nyumba
Mchungaji Edwin Taji wa Kanisa la Anglicana, Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam anadaiwa kusimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa ...Kikundi cha uhalifu ‘vibeberu.com’ chabaka wananchi mchana
Kikundi cha ubakaji maarufu kama ‘Vibeberu.com’ kilichopo Kijiji cha Ipinda Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, kimezua taharuki baada ya kudaiwa kufanya vitendo ...Mambo 10 unayoweza kufanya kupunguza hatari ya kuugua saratani
Shirika la afya duniani (WHO) linasema saratani ndio chanzo cha kifo cha mtu mmoja kati ya sita duniani, na hadi asilimia 50 ...