Maisha
Nchi 10 zinazoongoza zenye bei kubwa zaidi ya petroli Afrika
Ndani ya mwaka sasa kumekuwa na misukosuko kwenye sekta ya nishati duniani. Mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi unadaiwa kuchangia kupungua ...Vibaka wamkata mapanga na kuiba fedha na simu
Watu watatu wanaodaiwa kuwa ni vibaka wamevamia katika makazi ya Yohana Shija, mkazi wa Mtaa wa 14 Kambalage wilayani Geita mkoani Geita ...Kamati yaundwa kuchunguza matokeo ya Shule Kuu ya Sheria
Serikali imeunda kamati ya watu saba ili kuchunguza sintofahamu iliyojitokeza kwenye matokeo ya mitihani katika Shule Kuu ya Sheria Tanzania (Law School ...Rais Samia kuongoza mjadala wa kitaifa wa Nishati safi ya kupikia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza kongamano la mjadala wa kitaifa wa Nishati safi ya kupikia itakayofanyika Novemba 01 na 02, 2022 ...Shilingi bilioni 10 kupambana na tatizo la Watanzania 33,000 kufariki kila mwaka kwa kutumia nishati ...
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 10 kusambaza gesi majumbani na viwandani ili kupambana na athari ...Ishara 7 zinazoonesha unatapeliwa katika biashara za kuwekeza
Mpango wa Ponzi ni ulaghai wa uwekezaji ambao hulipa wawekezaji waliopo kwa fedha zinazokusanywa kutoka kwa wawekezaji wapya. Waandaaji wa mpango wa ...