Maisha
Mfumuko wa bei waongezeka kufikia 4.8%
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba 2022 umeongezeka hadi asilimia 4.8 ...Apigwa shoti akikata nguzo ya umeme kwa shoka
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Focus Juma mkazi wa Kijiji cha Nkiniziwa Wilaya ya Nzega, mkoa wa Tabora amekamatwa kwa tuhuma ...Rayvanny: Nimekua kimuziki tangu niondoke WCB
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amesema tangu aondoke kwenye lebo ya WCB amejihisi kukua kimuziki na kwa sasa ...Asilimia 96 ya waliofanya mtihani Shule Kuu ya Sheria mwaka 2022 hawajafaulu
Wanasheria na wadau mbalimbali wametaka utafiti ufanyike kubaini chanzo cha anguko kubwa la wanafunzi kwenye mtihani wa uwakili katika Shule Kuu ya ...Sababu 5 kwanini wanaume na wanawake hupeana talaka
Kuna sababu nyingi kwa nini ndoa huvunjika na kuishia kupeana talaka, lakini baadhi ni sababu za kawaida ambazo huathiri mahusiano. Daktari na ...