Maisha
Maafisa wa Kenya wasababisha msururu wa malori 600 Mpaka wa Namanga
Malori zaidi ya 600 yanayosafirisha bidhaa kutoka Tanzania yamekwama kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania (Namanga) kwa zaidi ya wiki moja na ...Afikishwa mahakamani kwa kuwadhalilisha marais wastaafu Tiktok
Fabian Sebastian, mkazi wa Ubungo jijini Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kuwadhalilisha marais wastaafu ...Makonda na Lemutuz washtakiwa kwa tuhuma za kupora Range Rover
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela maarufu Lemutuz wamefunguliwa kesi mahakamani kwa tuhuma za uporaji ...Sikukuu ya Maulid kufanyika Jumapili Oktoba 9
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limewataarifu Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuwa Maulid ya kuadhimisha mazazi ya Mtume Muhammad (S.A.W) ...Mama amchoma mwanae mikono kisa TZS 30,000
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Shahende, Kata ya Butobela wilaya ya Geita mkoani Geita ...