Maisha
Mwanafunzi ajinyonga mwalimu kumtaka anyoe nywele
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Langalanga, Shamamcy Wanjiru (17) amekutwa amejinyonga ndani ya nyumba yao eneo la ...Rais Samia: Vijana wengi wamekosa lishe bora
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na matatizo yanayowapata vijana wengi na kushindwa kuzaa watoto wenye afya njema, chanzo kikuu ni kukosa ...Tafiti: Wagonjwa wa moyo nchini waongezeka kutoka 60 hadi 500 kwa siku
Wataalamu wa moyo wamesema magonjwa ya moyo yanazidi kuongezeka nchini huku imani potofu zikiendelea kusambaa kuhusu tiba ya magonjwa hayo. Ameyasema hayo ...Utafiti: Sababu ya wagombea wa upinzani kutochaguliwa nchini
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti REPOA umeonesha kuwa Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote ...Historia yaandikwa Mtwara upasuaji wa kibingwa wa mifupa
Upasuaji wa kibingwa wafanyika Mtwara kwa mara ya kwanza Usimikaji wa mitambo ya kisasa umefanyika kwenye hospitali. Huduma za kibingwa za Taasisi ...Ummy: Serikali tumependekeza bima ya afya kuwa lazima
Kutokana na Watanzania wengi kushindwa kumudu gharama za matibabu, Serikali imetoa pendekezo la kuruhusu suala la bima ya afya kuwa la lazima ...