Maisha
Mwili wa Askari wakutwa umetupwa msituni Zanzibar
Kufuatia upelelezi uliokuwa ukifanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja baada ya taarifa ya kupotea kwa Askari Haji Machano Muhamedi ...RC aagiza wawili wahojiwe baada ya kushindwa kuthibitisha tuhuma za utekaji
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi ameagiza Polisi wilayani Maswa kuondoka na wananchi wawili waliotoa tuhuma za kuwepo kwa vitendo vya ...Watatu washikiliwa kwa tuhuma za kupanga mapinduzi Benin
Watatu mashuhuri akiwemo Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Benin wamekamatwa kwa tuhuma za kupanga jaribio la mapinduzi nchini humo. ...Adaiwa kumuua mama yake wakigombea mali za baba yake
Jeshi la Polisi limesema mwanamke aliyefahamika kwa jina la Adela Dominick (74) ameuawa kwa kupigwa na kitu butu kichwani kisha kunyongwa kwa ...Wanne wafikishwa mahakamani kwa kuteka na kumlawiti mwanablogu Mombasa
Watu wanne wamefikishwa katika mahakama ya Shanzu kaunti ya Mombasa nchini Kenya na kushtakiwa kwa utekaji nyara na kumlawiti mwanablogu mnamo Septemba ...