Maisha
Chalamila: Marufuku kulazimisha wafanyabiashara kufunga maduka ili kufanya usafi
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewapiga marufuku watumishi wa kata na mitaa kuwalazimisha wafanyabiashara kufunga maduka yao ili kufanya usafi. ...Serikali kuwachukulia hatua walimu watoro
Serikali wilayani Mbeya imewatahadharisha walimu wanaotoroka kazini na kwenda kufanya shughuli zao kwamba watachukuliwa hatua kali za kinidhamu na kisheria kwa kuwa ...Haya ni madhara ya kutumia simu wakati wa kulala
Daktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Uti wa Mgongo na Mishipa ya fahamu kutoka taasisi ya tiba na Mifupa (MOI), Lemery Mchone ...DAWASA yatangaza Kukosekana kwa maji Septemba 23
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imetoa taarifa ya kuzimwa kwa mtambo wa kuzalisha Maji, Ruvu chini ljumaa Septemba 23, ...Jinsi ya kulala ili kuepuka kukoroma
Je! Mara nyingi huamka na maumivu ya shingo au mgongo asubuhi? Hii inaweza kusababishwa na ulalaji mbaya usiku. Namna ya ulalaji bora ...Jela miezi 18 kwa kudai ametekwa, kumbe alikuwa kwa mpenzi wake
Mwanamke mmoja huko California, Sherri Papini (39), amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela baada ya kutoa taarifa za uongo kwa Shirika la ...