Maisha
Fahamu Aina za makundi ya damu, nani unayeweza kumchangia au kukuchangia damu
Wataalamu wa afya wanashauri ni muhimu binadamu kujua kundi lake la damu ili iweze kumsaidia wakati atakapohitaji kupata matibabu ambayo yanahitaji damu ...Makarani 10 wapoteza maisha katika kipindi cha Sensa
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Anne Makinda amesema katika zoezi la Sensa mwaka huu jumla ya Makarani ...Mwanamke jela miaka 30 kwa kusafirisha bangi kilo 13
Hadija Chilumba mkazi wa Tandika, Dar es Salaam amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kusafirisha dawa za ...Hoteli 5 kongwe zaidi Afrika na gharama zake kwa usiku mmoja
Kwa mujibu wa Business Insider Africa imetoa orodha ya hoteli kongwe zaidi barani Afrika huku baadhi ya hoteli hizo zikipokea wageni kwa ...Tahadhari kwa wanawake wanaotumia dawa za kusimamisha matiti
Madaktari wameonya matumizi holela ya dawa za kusimamisha matiti kwa wanawake kwa kuwa dawa hizo zinamuweka mtu katika hatari ya kupata magonjwa. ...