Maisha
Dalili 3 zinazoonesha kushindwa kwa moyo bila wewe kujua
Katika nchi zinazoendelea ugonjwa huu unazuka kwa kasi kubwa, hiyo inasababishwa na kubadilika kwa mfumo wa maisha na kutojishughulisha au kutokufanya mazoezi. ...Madaktari waomba wanaojaribu kujiua wasishtakiwe
Madaktari wanaoratibu magonjwa ya afya ya akili wameiomba Serikali kupitia upya sheria ya kuwafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba ...Agizo la Serikali kwa shule zinazochuja wanafunzi wasiofikisha viwango vya ufaulu
Serikali imepiga marufuku baadhi ya shule kuchuja wanafunzi wasiofikia kiwango kilichowekwa na shule pamoja na kuwazuia kufanya mitihani ya kitaifa kwa wanafunzi ...Waziri Nchemba: Serikali imeunda timu ya wataalam kuchambua tozo zenye utata
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imeunda timu ya wataalamu itakayofanyia kazi tozo zenye utata kwenye miamala ya ...Kunguni wasababisha wananchi kuuza samani zote za ndani
Baadhi ya wakazi wa eneo la Eastlands jijini Nairobi wamelazimika kuuza samani zao zote za ndani ili kujaribu kuzuia kunguni ambao wamekuwa ...