Maisha
Serikali yaondoa ulazima wa uvaaji barakoa
Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa nchini kutokana na kuendelea kupungua kwa hali ya maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 duniani kote. Akizungumza ...Walimu waonywa kukesha kwenye vilabu vya pombe
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema amekemea tabia ya baadhi ya walimu kukesha baa na kwenye vilabu vya pombe za kienyeji ...Wakamatwa kwa kulaghai na kuwaibia wanawake kwa kutumia madawa
Polisi mkoani Morogoro wanawashikilia watu wawili , Paulo Erick (48) maarufu Shayo na Dickson Mashamu (35) maarufu kwa jina la Tajiri Masu ...Wanaoishi na VVU washauriwa kuacha ngono zembe
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi kutoacha kutumia dawa za kufubaza virusi vya ugonjwa huo (ARVs) ...Madereva wa mabasi ya shule wadaiwa kubaka, kunajisi watoto
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa wazazi na walezi, wakidai watoto wao kufanyiwa vitendo vya ...Watoto wafariki baada ya wazazi kuwapaka kinyesi kukausha vitovu
Watoto takribani 306 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wamepoteza maisha kutokana na wazazi wao kuwapaka kinyesi cha wanyama kwenye vitovu vyao ...