Maisha
Mama na binti yake wakamatwa wakicheza kwenye kaburi la mchungaji
Mama na binti yake mdogo anayesoma darasa la sita, wamenusurika kuuliwa na watu wenye hasira kali baada ya kudaiwa kunaswa wakicheza kwenye ...Adaiwa kumuua baba mzazi na kumjeruhi mama kwa kushindwa kumtafutia mke
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Kristatus Victory (23) mkazi wa Lukuledi wilayani Masasi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Victory ...Waliozaliwa na jinsia mbili washauriwa kwenda hospitalini peke yao
Watanzania waliozaliwa na changamoto ya ulemavu wa kuwa na jinsia mbili wameshauriwa kwenda hospitalini peke yao wanapofikisha umri wa miaka 18 kwa ...Vigezo 10 vinavyoangaliwa zaidi na wanaume kwa wanawake wanapotaka kuoa
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba hukurupuka na kuoa mwanamke yeyote, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ...Kenya: Arejea nyumbani baada ya familia yake kuzika mtu mwingine
Kumetokea hali ya sintofahamu katika kijiji cha Kamukuywa eneo Bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma nchini Kenya baada ya mwanamume aliyedhaniwa kuwa ...Mgambo auawa kituoni akiamulia ugomvi wa wapenzi
Mgambo wa Kijiji cha Mkengwa katika kisiwa cha Kibuyi wilayani Rorya, Fred William (47) amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni alipokuwa ...