Maisha
Utafiti: Wanawake huathirika zaidi na uchafuzi wa hewa kuliko wanaume
Katika utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Manitoba, Winnipeg, Kanada umebaini kuwa athari za uchafuzi wa hali ya hewa huenda zikawa kali ...Morocco: Wanawake kupewa likizo yenye malipo wakati wa hedhi
Kikundi cha haki za kijami cha shirika la Bunge la nchini Morocco kimependekeza muswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi ...Sheria 6 za usalama wa mwili unazopaswa kumfundisha mtoto wako
Usalama wa mtoto wako unapaswa kuwa kipaumbele chako cha kwanza, na ni muhimu sana kumfanya mtoto wako afahamu na kumuelimisha kuhusu sheria ...Kulala kupita kiasi kunavyoweza kusababisha kifo
Kulala kupita kiasi kunaitwa hypersomnia au “kulala kwa muda mrefu.” Hali hii huathiri takribani asilimia 2 ya watu. Watu walio na hypersomnia ...Nchi 10 duniani zinazoongoza kuwalipa walimu mishahara mikubwa
Malalamiko juu ya mishahara midogo kwa walimu yamekuwa yakisikika katika maeneo mengi duniani, lakini licha ya malalamiko hayo yapo maeneo ambayo walimu ...Kenya: Watumia magunia kama mbadala wa majeneza kuzika
Baadhi ya wakazi wa Ndindiruku kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, wamelazimika kuwazika wapendwa wao kwa magunia kutokana na kushindwa kumudu gharama kubwa ...