Maisha
Utafiti: Kulala saa chache chanzo cha watu kuwa wabinafsi
Hatari za kiafya za kupoteza usingizi zinajulikana sana, kuanzia ugonjwa wa moyo hadi matatizo ya akili, lakini ni nani alijua kwamba kulala ...Makarani waonywa kwenda na vishkwambi sehemu za starehe
Siku chache baada ya zoezi la sensa ya watu na makazi kuanza Agosti 23, 2022, Serikali imewaonya makarani wa Sensa kuacha tabia ...Msako wa mifuko ya plastiki kuanza Jumatatu
• Operesheni ya kukamata mifuko ya plastiki iliyozuiliwa kuanza rasmi Jumatatu jijini Dar es Salaam . • Makamu wa Rais, Dkt. Philip ...Ajikuta ndani ya jeneza amezikwa futi sita baada ya kulewa kupita kiasi
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Victor Hugo Mica Alvarez (30) , mkazi wa Amerika Kusini ya Bolivia, amejitokeza na kueleza jinsi ...Wazazi warudisha mahari kuwanusuru watoto wao wanaoteseka kwenye ndoa
Wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 14 wamekubali kurejesha fedha na mifugo waliyopokea kama mahari na kurudi na watoto ...Gwajima: Machinga wanaorudi barabarani wanatumiwa na wafanyabiashara wakubwa
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia wamachinga ...