Maisha
Serikali yasitisha utoaji mikopo ya 10% katika halmashauri
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zote nchini kusitisha utoaji wa fedha za mikopo kwa makundi maalum ya vijana, wanawake na wenye ...Thabo Bester na Dkt. Nandipa warejeshwa Afrika Kusini
Tanzania imerejesha Thabo Bester maarufu ‘Mbakaji wa Facebook’ aliyekamatwa jijini Arusha baada ya kutoroka gerezani nchini Afrika Kusini kwa kudanganya kuhusu kifo ...Adaiwa kumuua mwanae mlemavu kwa kushindwa kumtunza
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Elias Bakumye (32) mkazi wa Kijiji cha Chikobe, Kata ya ...Mwanza: Magari yasimamishwa kwa saa nne ili Makamu wa Rais apite
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema amesikitishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kufunga barabara kwa saa nne katika msafara wake ...Mwisho wa kutumia nishati ya kuni na mkaa Januari 31, 2025
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imezitaka taasisi zote za umma na binafsi Tanzania Bara zinazoandaa chakula na kulisha watu zaidi ...Mwanafunzi atolewa korodani baada ya kupigwa na walimu wake
Polisi katika Kaunti ya Kisii nchini Kenya wanawasaka walimu wa Shule ya Sekondari ya Nyabisia huko Bobasi kutokana na adhabu kali ya ...









