Maisha
Daktari ahukumiwa miaka 25 jela kumnajisi mtoto
Daktari Jean de Dieu Maniriho kutoka Musanze nchini Rwanda, amehukumiwa kifungo cha miaka 25 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumnajisi ...Zumaridi apangiwa hakimu mpya
Monica Ndyekobora, Hakimu aliyekuwa akisikiliza shauri la jinai namba 12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 83, ameondolewa na ...Kenya yauza mirungi ya TZS bilioni 4 Somalia ndani ya siku nne
Kenya imeuza mirungi yenye thamani ya TZS bilioni 4.3 nchini Somalia ndani ya siku nne tangu kurejeshwa kwa soko hilo. Mpaka sasa ...Mbinu 5 za kuanzisha mazungumzo na msichana uliyekutana naye mara ya kwanza
Umekuwa ukitumia njia gani kumshawishi msichana kukubali kuwa karibu na wewe kwa mara ya kwanza? Chochote kitakachotokea kati ya nyinyi wawili ...Tabia 6 za kila siku zinasosababisha uwe na kitambi
Ikiwa utahisi kwamba umeanza kuwa na kitambi, au kitambi chako kinaendelea kukua, huenda hivi karibuni umeanzisha tabia ambazo zinachochea kwa kiasi kikubwa ...Wazazi wawaogesha watoto kwa dawa za mvuto wa mapenzi ili waolewe
Baadhi ya wazazi katika Kata ya Ilola, wilayani Shinyanga wamedaiwa kuwaogesha watoto wao wa kike dawa za mvuto wa mapenzi ili wapate ...