Maisha
Dawa ya ‘Mkongo’ yapigwa marufuku
Mwenyeki wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Prof. Hamisi Malebo amesema baraza hilo limeifungia dawa inayoitwa ya Hensha maarufu Mkongo ...Zimbabwe yaruhusu bangi kuuzwa kwenye maduka ya dawa
Zimbabwe imeruhusu bidhaa za katani na bangi kuuzwa kwa mara ya kwanza kama sehemu ya dawa za ziada zinazotolewa kwa wagonjwa. Mamlaka ...Wazazi watelekeza watoto, Baba aoa na mama aolewa na mtu mwingine
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Ngollo Malenya ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani humo kuwasaka na kuwakamata Thomas Ulanda pamoja na ...Mifugo 314 yakamatwa kwa kuingizwa nchini kinyume na taratibu
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo (STPU) Tanzania, Simon Pasua amesema Julai 24 mwaka huu Jeshi la Polisi lilikamata ...Wanaotoa fedha kwa ombaomba kushtakiwa
Halamshauri ya jiji la Dar es Salaam ipo katika hatua za kutunga sheria ndogo ya kuwashughulikia ombaomba ikiwemo kuwashitaki watu wote wanaowapatia ...Serikali yashauri wananchi kuongeza ulaji wa nyama na mayai
Inaelezwa kuwa pamoja na uzalishaji wa mifugo nchini, bado ulaji wa nyama kwa mtu mmoja kwa mwaka ni mdogo kitaifa ambapo takwimu ...