Maisha
Kenya: Uhaba wa mahindi, Serikali yashauri wananchi kula wali
Wakenya wametakiwa kutafuta mbadala wa mahindi baada ya nchi hiyo kukumbwa na uhaba wa chakula chake kikuu, kufuatia ukame wa muda mrefu. ...Mwenye nyumba afumaniwa na mke wa mpangaji wake
Mwenye nyumba, Mathayo Gote, Mkazi wa Kijiji cha Kibwela mkoani Geita ameadhibiwa kwa kuchapwa fimbo hadharani na kutozwa faini ya TZS 200,000 ...Dkt. Mpango: Mapenzi ya jinsia moja, hata wanyama hawafanyi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya Kitanzania pamoja na kuongeza ...BAKWATA: Kifungu kinachoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kisiondolewe
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 ...TCRA yavionya vyombo vya habari kuhusu taarifa za kidini za kufikirika
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekemea vikali taarifa za kufikirika na zenye utata kuhusu imani za kidini ambazo zinaendelea kushamiri kwenye vyombo ...Nchi 10 za Afrika ambazo watu wake wana furaha zaidi
Mtandao wa kimataifa ‘Sustainable Development Solutions Network’ umetoa orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani ambako watu wake wameridhika na hali ya ...









