Maisha
Serikali kuja na mpango wa ruzuku ya gesi ya kupikia
Waziri wa Nishati, January Makamba ametangaza kuwa Juni mwaka huu kutafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ...Taarifa ya Serikali kuhusu ugonjwa wa Marburg uliozuka Kagera na namna ya kujikinga
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema uchunguzi uliofanyika katika Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii umethibitisha uwepo wa virusi vya Marburg ...Mwalimu aliyemuua mwalimu mwenzake Geita ajinyonga akiwa chooni
Mwalimu aliyekuwa akituhumiwa kumuua mwalimu mwenzake kwa kumchoma kisu wakiwa darasani, Samweli Abeli (35) amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia shati lake alipokuwa ...Mchungaji azikwa baada ya familia kusubiri afufuke kwa siku 600
Baada ya takribani siku 600 za kungoja ufufuo ambao haujawahi kutokea, mchungaji kutoka Afrika Kusini, Siva Moodley amezikwa kwa heshima katika makaburi ...Waandamanaji Kenya watawanywa kwa mabomu ya machozi
Polisi wa kutuliza ghasia jijini Nairobi nchini Kenya wamewatawanya waandamanaji na kuwakamata baadhi yao walioandamana kuipinga Serikali ya Rais William Ruto pamoja ...Fahamu aina 3 za machozi aliyonayo binadamu na kazi zake
Kwanini binadamu hulia? Hisia zako zinaweza kukufanya ulie ukiwa na huzuni, hasira au furaha. Kulia kwa sababu za kihisia kunaweza kukufanya ujisikie ...









