Maisha
Mchekeshaji wa Tiktok alazwa kwa kula buibui
Mtayarishaji wa maudhui yenye utata nchini Kenya, Aq9ine amejikuta akilazwa hospitalini huku akiwa katika hali mbaya baada ya kudaiwa kula buibui. Kulingana ...Madaktari waeleza madhara ya kutumia mate kama kilainishi wakati wa kujamiiana
Wataalam wa afya wamewatahadharisha watu wanaotumia mate ukeni kama kilainishi kwa ajili ya kuleta ladha wakati wa kujamiiana kwamba kunaongeza magonjwa yanayosababishwa ...Kamishna TRA akana kukwapua eneo la makazi ya wananchi Mwanza
Baada ya wananchi mkoani Mwanza kudai kuchukuliwa kwa eneo la makazi ya Isamilo na kupewa vigogo 39 bila ya kupewa fidia yoyote, ...Tanzania yashika nafasi ya 5 uvutaji bangi nyingi Afrika
Ripoti ya hivi karibuni kuhusu matumizi ya tumbaku iliyofanywa na kikundi cha kampeni ya afya ya umma na wasomi wa Marekani imegundua ...Wanaume Katavi: Wanawake wakipata pesa wanatunyanyasa na kutunyima tendo la ndoa
Wanaume wa Kijiji cha Mapili Halmashauri ya Milele mkoani Katavi wamesema wanashindwa kuwawezesha kiuchumi wake zao wakihofia wanawake wao kubadilika ikiwa ni ...Hizi ni faida 5 za kula bamia
Ulaji wa bamia umekuwa ukikimbiwa na watu wengi licha ya kutajwa kuwa msaada mkubwa katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa tovuti ...