Maisha
Serikali: Tumebakisha maombi 30,000 kati ya 120,000 kuungansha umeme nchi nzima
Akiwa kwenye mkutano wa hadhara, Waziri wa Nishati, January Makamba amewahahakikishia wananchi wa Sengerema kuwa maombi yao ya kuunganishiwa umeme ifikapo Agosti ...Uber yashtakiwa na wanawake 550 kwa unyanyasaji wa kingono
Kampuni Uber inashtakiwa na wanawake 550 wanaodai kufanyiwa vitendo viovu na madereva walipokuwa wakitumia huduma ya usafiri. Malalamiko hayo yaliyowasilishwa Jumatano katika ...Wizara yapendekeza mikutano na upigaji kura vifanyike kwa mtandao
Wizara ya Fedha na Mipango- Zanzibar imependekeza matumizi ya teknolojia ya kisasa katika michakato ya uchaguzi ili kupunguza changamoto zinazojitokeza ikiwemo uwazi ...Vigogo 39 wadaiwa kukwapua eneo la wananchi Mwanza, waziri aingilia kati
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameagiza wizara kufanya uchunguzi juu ya madai ya vigogo 39 waliomilikishwa eneo ...CWT yataka kikokotoo kirudi kwa wadau kijadiliwe upya
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka serikali kukirudisha kikokotoo kilichopendekezwa kwa wadau ili kijadiliwe kwa kuwa sasa kinawaumiza wafanyakazi pale wanapoenda kustaafu. ...India kuipita China kama nchi yenye watu wengi duniani
Umoja wa mataifa (UN) umetoa ripoti kuwa idadi ya watu duniani itafikia bilioni nane ifikapo Novemba 15 huku India ikitarajiwa kuchukua nafasi ...