Maisha
Mchungaji Msigwa awataka vijana wa CHADEMA kuacha matusi mitandaoni
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa umewataka wanachama wa chama hicho kuacha kutukanana katika mitandao ya kijamii, ...Utafiti: Kuongeza chumvi mezani kunapunguza umri wa kuishi
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Tulane huko New Orleans umebaini kuwa, kuongeza chumvi kwenye chakula mezani kunaweza kupunguza umri wa kuishi. ...Kongamano la kumbukizi ya Hayati Mkapa kufanyika Zanzibar
Taasisi ya Benjamini Mkapa (BMF) kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeandaa kongamano la kumbukizi ya maisha ya Rais wa ...Mwanaume wa miaka 40 adai ni mtoto wa Vera Sidika
Mwanamume mmoja (40) kutoka kaunti ya Busia nchini Kenya amejitokeza hadharani na kudai kuwa yeye ni mtoto wa mwanamitindo maarufu na mfanyabiashara ...Mkurugenzi Jiji la Dar es Salaam asimamishwa kazi, akabidhiwa kwa TAKUKURU
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri na watumishi wengine ...Utafiti: Vijana wanaokunywa pombe peke yao hatarini kuto acha wakiwa watu wazima
Utafiti mpya umebaini kuwa kunywa pombe ukiwa peke yako wakati wa ujana kunaweza kuongeza hatari ya matumizi mabaya ya pombe pindi unapokuwa ...