Maisha
Watu 11 wa familia moja wahukumiwa kifo China
Mahakama nchini China imewahukumu kifo watu 11 kati ya 39 wa familia moja kwa kuendesha vituo vya uhalifu nchini Myanmar, ikiwemo biashara ...Jela miaka 30 kwa kukutwa na bangi
Mahakama ya Wilaya Singida imemhukumu Athumani Jumanne Mwangi (24), mkazi wa Mungumaji, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ...Polisi waanza uchunguzi wanasiasa Kigoma kukusanya namba za vitambulisho vya kura
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limeanza uchunguzi kufuatia tuhuma zinazohusisha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wanaodaiwa ...Polisi kuchunguza tukio la mauaji ya watu wawili Dar
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea kuchunguza mauaji ya watu wawili ambao wamejulikana kwa majina ya Mashua ...Amdanganya mume kuwa ametekwa ili atume milioni 10
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia Loveness Kisile (30) mkazi wa Mtaa wa Temeke, Kata ya Mhandu Wilaya ya Nyamagana kwa tuhuma ...Muhimbili yakanusha kuwafuta kazi wafanyakazi 200
Hospitali ya Taifa Muhimbili imekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa imewafuta kazi wafanyakazi 200 kwa kuwa haina fedha za kuwalipa. Taarifa iliyotolewa na ...








