Maisha
Mwanafunzi ajiteka mwenyewe ili kupata fedha kwa wazazi
Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanafunzi wa ya Udaktari, Edwin Kamau (23), ambaye anadaiwa kuwa ametekwa kwa nia ya kujipatia pesa kutoka kwa ...Watanzania milioni 2 watakiwa kurudia chanjo ya UVIKO19
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema jumla ya Watanzania milioni 2.08 hawajakamilisha dozi ya pili ya UVIKO-19, hivyo kuwataka kurudi kwenye vituo ...RUWASA kuanza kufunga mita za malipo ya kabla kwenye mikoa 25
Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini [RUWASA] una mpango wa kufunga mita za maji 350 kwenye mikoa 25 nchini isipokuwa ...Kiswahili chatangazwa lugha rasmi Uganda
Baraza la Mawaziri la Uganda limeridhia uamuzi wa viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia Kiswahili kama lugha rasmi. Akizungumza ...Ujenzi Daraja la JP Magufuli (Kigongo – Busisi) wafikia 47.3%
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umesema ujenzi wa Daraja la JP Magufuli linalojulikana pia kama Daraja la Kigongo-Busisi lenye urefu wa kilometa ...Wajua, si kosa trafiki anapokuomba leseni hapo hapo ukawa huna
Kifungu cha 77 cha Sheria ya Usalama Barabarani kinamtaka kila mwendesha chombo cha moto kutembea na leseni barabarani, na pia trafiki ana ...