Maisha
Watumishi wa Serikali wadaiwa kwenda baa na nyaraka za Serikali
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde amekemea tabia ya baadhi ya watumishi kwenda ...Binti adaiwa kumchinja mama yake akimtuhumu kumuua mtoto wake
Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma ya kumuua kwa kumchinja mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Butamo ...Kigoma: Wanafunzi wanne waliozama mtoni wakienda shule asubuhi hawajapatikana
Wanafunzi wanne kati ya sita wa Shule ya Msingi Kagera wanaoakadiriwa kuwa na umri wa miaka 7-14 mkoani Kigoma waliozama na mtumbwi ...Orodha ya majina ya vijana 812 waliochaguliwa kujiunga na programu ya kilimo (BBT)
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametangaza awamu ya kwanza ya majina ya vijana 812 waliochaguliwa kujiunga na programu ya Building a Better ...Vijana wanufaika na programu ya Rais Samia katika mifugo
Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha ...Fahamu kwanini unapata tatizo la kukosa choo na nini cha kufanya
Tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu, (constipation) huweza kumpata mtu yeyote. Kuna watu wanaopata choo mara tatu kwa siku, wengine hupata ...









