Maisha
Serikali kudhibiti utozaji nauli za teksi
Wakala wa Vipimo [WMA] umesema inakwenda kuchukua hatua na kufanya uhakiki wa vipimo halali kwa kampuni za simu, kutokana na madai ya ...Je! Unatakiwa kumwambia mwenza wako idadi ya uliofanya nao ngono?
Kumuuliza mpenzi wako kuhusu historia yake ya ngono inaweza kuwa kama kutazama filamu ya kutisha, unataka kujua kinachoendelea lakini pia hutaki kujua. ...Kwanini wanaume, kwa wastani hufa kwanza?
Imeelezwa kuwa wanawake huishi umri mrefu zaidi kuliko wanaume. Mwaka 2018, wastani wa umri wa kuishi ulikuwa miaka 76.2 kwa wanaume na ...Watu wawili hufariki dunia kila dakika kwa ajali za barabarani
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeonyesha kuwa ajali za barabarani duniani kote zinachukua maisha ya watu takribani milioni 1.3 kila ...Wanawake washauriwa kwenda na waume zao kwa Sangoma kutibiwa
Ripoti iliyotolewa na Wanamtandao wa Mkoa wa Kusini Unguja imesema Waganga wa Kienyeji wamechangia kuongezeka kwa vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake wanaokwenda ...Wajawazito watozwa gharama tofauti za kujifungua kulingana na jinsia ya mtoto
Wananchi wa Kijiji cha Misigiri, Kata ya Ulemo wilayani Iramba mkoani Singida wamelalamikia gharama za wajawazito wanapokwenda kujifungua katika Hospitali ya Wilaya ...