Maisha
BAKWATA imetangaza Sikukuu ya Eid Julai 10
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El- Adh’haa itakuwa Jumapili Julai 10 mwaka huu. Sherehe hizo kitaifa ...Utafiti: Waliougua UVIKO19 hatarini kupata upungufu wa nguvu za kiume
Wizara ya Afya imesema utafiti umebaini kuwa wanaume waliougua ugonjwa wa UVIKO-19 wako katika hatari ya kupata upungufu wa nguvu za kiume. ...Serikali: Hakuna mwanafunzi aliyepelekwa chuo cha kati bila yeye kupenda
Serikali imesema hakuna mwanafunzi ambaye amepelekwa kwenye vyuo vya kati bila yeye mwenyewe kupenda, bali wanafunzi wenyewe walifanya machaguo hayo ambayo yalionekana ...Serikali: Hatutazuia safari za usiku za mabasi ya ‘hakuna kulala’
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Zuberi Homera imesema serikali haitapiga marufuku mabasi madogo ya abiria yanayofanya safari zake usiku maarufu ‘hakuna ...Mwananchi ampiga waziri kofi kanisani
Mwanamume mmoja aliyetambulika kwa jina la Michael Okurut (39) anazuiliwa na polisi baada ya kukamatwa kwa madai ya kumpiga Waziri wa Ujenzi ...Wahamiaji 14 wamefariki baada ya boti kushika moto
Takribani wahamiaji 14 wamefariki baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuungua moto Kusini mwa nchi ya Senegal. Mamlaka nchini humo zimesema zimefanikiwa kupata ...