Maisha
Wenye ulemavu Tanzania wanavyosafirishwa na kutumikishwa Kenya
Mkuu wa Kitengo cha Utafiti, Takwimu katika Sekretarieti ya Kupambana na biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu Tanzania, Alexander Lupilya amesema Serikali ...Tozo ya ving’amuzi yashuka
Serikali imepunguza kiwango cha tozo za ving’amuzi kwa kiwango cha shilingi 500 hadi shilingi 2000, itakayokuwa ikitozwa kupitia malipo ya vifurushi. Ameyasema ...Madhara yatokanayo na kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa ...Wezi saba wa ng’ombe wazikwa wakiwa hai
Polisi nchini Msumbiji wamewakamata watu tisa wanaodaiwa kuwatesa na kuwazika wakiwa hai washukiwa saba wa wizi wa ng’ombe katika Wilaya ya Manhica ...Wanawake waonywa tabia ya kuazimana mawigi
Daktari bingwa wa magonjwa ya Ngozi kutoka Hospitali ya Lugalo, Dkt. Msafiri Kombo amesema kitendo cha wanawake kuchangia nywele bandia kina madhara ...Jinsi ya kuondoa taarifa zako binafsi Google
Ikiwa kuna habari kwenye Google ambayo unahisi ni nyeti na inaweza kuleta athari kwako mwenyewe na watu wako wa karibu, kuna njia ...