Maisha
Waziri Nchemba: Serikali imeunda timu ya wataalam kuchambua tozo zenye utata
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imeunda timu ya wataalamu itakayofanyia kazi tozo zenye utata kwenye miamala ya ...Kunguni wasababisha wananchi kuuza samani zote za ndani
Baadhi ya wakazi wa eneo la Eastlands jijini Nairobi wamelazimika kuuza samani zao zote za ndani ili kujaribu kuzuia kunguni ambao wamekuwa ...Namna 6 bora za kumuacha mtu katika mahusiano
Hakuna njia rahisi ya kusema “sikupendi tena” lakini kuna njia za upole za kuachana na mtu ambaye ulimpenda hapo awali ambazo hazitoleta ...Muuguzi Amana afikishwa mahakamani kwa kumbaka, kumlawiti mtoto
Muuguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Amana jijini Dar es Salaam, Joseph Mwampola (59) amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na ...Adaiwa kuua mtoto ili kulipiza kisasi kwa mama yake
Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia Hapiness Mkolwe (27) kwa tuhuma za kumuua mtoto Jackson Kiungo (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ...