Maisha
Fundi simu jela miaka 14 kwa kusambaza picha za utupu
Kijana mmoja (22) nchini Ghana amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kusambaza picha za uchi za mwanamke wa Lebanon kwenye ...Raia wa China anaye wakaririsha na kuwarekodi watoto nyimbo za ubaguzi akamatwa
Msanii wa filamu kutoka nchini China, Lu Ke ambaye aliyekuwa akitafutwa na serikali ya Malawi kwa tuhuma za kuwakaririsha na kuwarekodi watoto ...Wananchi Kenya wajitokeza kuuza figo
Hospitali Taifa nchini Kenya imesema kumekuwa na ongezeko la idadi ya watu wanaouliza na kujitolea kuuza figo zao. Katika chapisho la Facebook, ...Fahamu magonjwa 6 yanayosababishwa na matumizi ya chumvi nyingi
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mtu mzima anatakiwa kutumia kiwango cha chumvi kisichozidi gramu tano kwa siku ili kupunguza ...Mwanafunzi wa chuo ajifungua na kumtupa mtoto nyuma ya nyumba
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza aliyetambulika kwa jina moja la Judith amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi akidaiwa kujifungua ...Madhara ya kuvaa miwani ya urembo
Uvaaji miwani ya jua (Sunglasses) ni aina ya mtindo wa muda mrefu unaotumika kuongeza mvuto katika vazi, mbali na hilo husaidia kukinga ...