Maisha
Athari 5 za kuvaa Earphones kwa muda mrefu
Ni jambo la kawaida kumkuta mtu ameweka masikioni vipokea sauti masikioni(EarPhones) huku akiendelea na shughuli zake. Vifaa hivi vimekua kama msaada wa ...Afariki kwa kunywa pombe akiwa kwenye dozi
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Noel Mfoi (20) mkazi wa Sanya Juu Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro amefarikia dunia kwa ...Chanzo cha ugonjwa wa presha ya macho na dalili zake
Ugonjwa wa shinikizo la macho au presha ya macho (Glaukoma) ni ugonjwa ambao huandamana na kuharibika kwa mshipa wa neva ya optiki ...Wazazi washauriwa kuacha kuwalaza watoto na wageni
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Serikali la Vuka Initiative, Veronica Ignatus amewahasa wazazi na walezi juu ya kulaza watoto wao na wageni ...Afikishwa mahakamani kwa kuzaa na binti yake
Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ...Namna bora ya kujitunza wakati wa ujauzito
Wakati wa ujauzito ni wakati ambao unahitaji kufanya vitu kwa uangalifu zaidi na kufuata taratibu zilizopendekezwa na wataalam, kwani makosa yoyote yanayofanyika ...