Maisha
Mwigulu: Si kila mwenye miaka 18 atalipa kodi
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kodi haitotazwa kwa kila mtu mwenye umri wa miaka 18, bali atatozwa mtu ...Vyanzo vikuu vinne vya ugonjwa wa Figo
Ugonjwa wa Figo huogopwa sana kwani sayansi ya matibabu haina tiba yake. Magonjwa ya kudhoofisha ya figo yanaongezeka kwa haraka sana duniani ...Wanaohama Ngorongoro kwa hiari wamshukuru Rais Samia
Baadhi ya wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha ambao wameamua kuhama kwa hiari kwenye eneo la Hifadhi ya Ngorongoro wamemshukuru Rais Samia Suluhu ...Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kujifanya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Warren Max Mwinuka (20) mkazi wa Makondeko Mbeya Mjini kwa tuhuma za kujifanya Mkuu wa Mkoa ...Ugonjwa wa Homa ya Nyani kubadilishwa jina
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema linafanya kazi na wataalamu kuibua jina jipya la ugonjwa wa homa ya nyani ‘Monkeypox’ ili kuepusha ...Rais Museveni awalaumu viongozi waliopita kwa umaskini Uganda
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewalaumu viongozi wa zamani na wakoloni kwa umaskini wa Uganda na kusema walitia sumu akili za wakulima ...